Wednesday, July 23, 2008

WAZIRI MKUU ATEMBELEA WATOTO YATIMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mtoto Michael Juma wa kituo cha watoto yatima na wasiojiweza cha Hombolo, Dodoma wakati alipotembelea kituo hicho Julai 20,2008. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitembelea chumba cha watoto katika kituo cha kulea watoto yatima na wasiojiweza cha Hombolo mkoani Kigoma Julai 20,2008.Kulia ni Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: