Friday, July 25, 2008

SIKU YA MASHUJAA

Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR- MAGEUZI Bw.James Mbatia akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) katika maadhimisho ya siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo asubuhi. PICHA ZOTE :RICHARD BUKOS NA CHRISTOPHER LISSA / SAJUM

No comments: