Tuesday, July 22, 2008

LOVE SMS ZA LEO LEO...

What makes some people dearest is NOT just the happiness that you feel when you meet them; but it's the pain you feel when you miss them...
*****
Siku niliyokutana na wewe kwa mara ya kwanza haiwezi kufutika mpenzi, ilikuwa siku nzuri sana kwangu, siku ya kutambulisha hisia zangu kwako! Ukanipokea na kunikaribisha moyoni mwako! Hakika nakupenda sana mpenzi wangu!
****
It's nice feeling when you know that someone loves you, someone misses you, someone needs you, but it feels much better when you know that someone never forgets you!
*****
Samahani mpenzi kwa kukupa habari mbaya! Nimepata ajali ya MOYO, nimelazwa wodi ya MAPENZI, Daktari kaniandikia vidonge aina ya BUSU, nimetafuta katika maduka yote ya dawa nimekosa! Je, wewe waweza kunipatia mpenzi wangu?
*****
Have you seen my smile because the last time I wore it was when I was with you! Miss U sweetie...
*****
Kila chozi likidondoka linaandika jina lako, kila waridi nilipandalo latoa harufu yako, kila moyo udundapo hutaja jina lako, nakupeda mpenzi wangu wa ubani, kukusaliti siwezi asilani!
*****
Missing someone gets easier everyday, coz even though it's one day further from the last time u saw each other, it is one day closer to the next time u'll!

No comments: