Tuesday, July 22, 2008

VICHEKESHO

Mlevi wa bangi,anavyoipenda sana bangi mpaka ameipa jina la ''Ufunguo"ili polisi wasijue anakusudia nini, hata mtoto wake kamuita ufunguo vilevile,siku moja aliletewa habari wakati yeye keshalewa bangi kibao,akaambiwa mwanao ufunguo amefariki,akawajibu;Musiwe na wasiwasi ninao spea!!!!!!.
*********
Wanasema uchunguzi uliofanywa huko marekani ni kwamba wanaume ambao wake zao sio warembo {kwa sura na umbo} ndio walio bahatika kutopatwa na magonjwa kama presha na ma-temper{ukali} wakati mwingi na kwamba wanakuwa na bahati ya kuishi umri mrefu zaidi {mungu akipenda}.Lakini wanaume walio-owa wanawake warembo,uchunguzi umegunduwa kama ndio wao zaidi wanaugua sana magonjwa kama presha na wakati wote ni wakali hata kwa jambo dogo sana na ndio mara nyingi wanafikia kuugua hata maradhi ya moyo. Jamani wivuuuuuuu!!!!!!!

No comments: