Tuesday, July 22, 2008

KAMBINI MAMISS TZ LEO!

Warembo waliyoko Paradise Beach Resort katika kambi ya Miss Tanzania 2008.


Warembo Lilian Shayo (kushoto) na Nadia Mohamed wakiperuzi kurasa za gazeti la Uwazi toleo la leo. Kambi ya Miss Tanzania inaendelea vizuri mjini Bagamoyo na leo ilikuwa ni siku ya Media ambapo warembo hao, wakionesha kuwa katika ari nzuri, waliongea na vyombo vya habari mbalimbali katika hoteli hiyo ya kifahari ya Bagamoyo Paradise Beach Resort. Kama ilivyo ada, shindano hili limedhaminwa na kampuni ya simu ya VODACOM, kampuni inayoongoza nchini Tanzania, shindano hili linatarajiwa kufanyika Agosti 2, Leaders Club jijini Dar. kiingilio kitakuwa shilingi 35,000 na 80,000 kwa VIP. PICHA: ISSA MNALLY/SAJUM

1 comment:

james said...

kweri mimi nimetoka tanzania in 2007 lakini sikupata fulsa yakutembeya tanzania lakini nataka mtu wakunifafanulia baga moyo pako je