Tuesday, July 22, 2008

KITU HICHO SIO MCHEZO...

Waimbaji wa Bendi ya Msondo Music wakiongozwa na Roman Mng'ande 'Romario' (kushoto) wakimpagawisha Mnenguaji wa bendi hiyo Nacho Said 'Mama Nzawisa', aliyejikunja hapo chini katika bonanza la bendi hiyo lililofanyika katika Viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam jana jioni.
Mnenguaji wa Bendi ya Akudo Impact Judith Yuna, usiku wa kuamkia leo alinaswa na kamera yetu katika Ukumbi wa New Msasani Beach Club akinengua na kimini cha kufa mtu licha ya Serikali kuwapiga stop kunengua na viguo hivyo.

No comments: