Friday, July 25, 2008

WAGONJWA WA MOYO PRESHA JUU.

TUKIMBIE LAAZIZ, USIJEFIA HAPA

Lile sakata la Hospitali ya Tiba ya Moyo kupigwa stop kuendelea kufanyia shughuli zake katika Jengo hilo walilokuwa wakitumia, lililopo maeneo ya Kinondoni karibu na Leaders Club Jijini Dar es Salaam, baada ya kushindwa kulipia Jengo. Hivyo limezidi kuleta sura mpya na hofu kubwa kwa wagonjwa kuweza kupoteza maisha kwani hapa nchini hakuna hospitali nyingine inayotoa huduma hiyo. Kamera yetu leo mchana ilimnasa mgonjwa mmoja aliyefahamika kwa jina la Alley Kheir, aliyetokea Visiwani Zanzibar, kwenda hospitali hiyo kutibiwa akiondolewa na mkewe Bi.Hawa Suleiman, kwenda kutafuta huduma hiyo mahali pengine.Pichani Bi. Hawa Suleiman akimkokota mumewe Bwana Alley Kheir anayesumbuliwa na presha ya kupanda kuondoka Hospitalini hapo.

TULIA HAPO DEAR MI'NAKUJA
Bw. Kheir tayari ameshaingizwa ndani ya gari na kuondoka katika Hospitalini hapo, na kwenda kutafuta huduma hiyo sehemu nyingine, kwani hali yake sio mzuri inahitaji uangalifu kila wakati. Nataka niongezee kitu hapa hii ni Hopitali kubwa hapa Nchini na ndio tegemezi ya wanyonge wengi, jee tutafika?...

1 comment:

ubriggtabata said...

Mohegan Sun - Casino | JSH
Mohegan Sun. Hotel. 남양주 출장마사지 1 Mohegan 부산광역 출장안마 Sun 춘천 출장마사지 Boulevard Uncasville, CT 06382. 양산 출장안마 (860) 933-1000. United States. 서귀포 출장마사지 Mon-Fri 8am-5pm. Fri 10am-8pm.