Friday, July 25, 2008

WADAU HAYA MAMBO HAYOO...



Kwa sasa dada zetu wanapenda mtindo huu na kimekuwa kivutio kikubwa . Nimeweka picha hizi kwa makusudi muone ni jinsi gani zimekuwa zikiwaacha watu uchi tofauti na mienendo ya maadili ya nchi yetu. hebu ona jinsi wenzetu wa mtoni wanavyovaalia vivazi hivi na kupendeza, pengine wao maadili yao yanaruhusu. kwa hapa kwetu wasanii na ma miss kadhaa wanapendelea kutimga mavazi kwa mtindo huo je wanavaa kama mtindo 'Style au wanafanya biashara zaidi?. kazi kwako msomaji...

No comments: