Friday, June 27, 2008

Queen Latifah

HAYA NDIO MAMBO YA MAJUU


Queen Latifah akiwa ndani ya Bikini huko Miami akifurahia shughuri zake za majini ‘baharini’. Ni mwanamke ambaye anatarajia kumuoa mwanamke mwenzake, kwa kifupi tunaweza kumkandia, ataoaje mwanamke mwenzake. Ni wapi uanamke wake unapoanzia na wapi maziwa yake yanapoishia?, hilo ni swali kila mmoja anatakiwa kujiuliza.

Je ataimudu ndoa, je atapata mtoto? au ni mambo ya mkwanja yana msumbua, kazi kwako msomaji wote kwa pamoja hatujui!

No comments: