Thursday, July 3, 2008

WANANCHI WANGU HAMUJAMBO


Meya wa Manispaa ya Kigoma /Ujiji Nashon Bindyanguze akiwasilimi wananchi baada ya kukabidhiwa umeya wa manispaa hiyo na meya aliyemaliza muda wake, Kitita Magonjwa wa CHADEMA katika makabidhiano ya umeya yaliyoongozwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, kwenye viwanja vya Manispaa hiyo mjini Kigoma Juni 30, 2008.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: