Wednesday, July 2, 2008

POKEA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, John Haule, kushoto akikabidhi moja ya vitendea kazi kwa, mmoja wa waelimishajirika wa Wizara hiyo, wakati wa ufunguzi wa mafunzo jana. (Picha na John Nditi /SAJUM).

No comments: