Monday, July 14, 2008

LEO MPAKA KIELEWEKE

Waliokuwa wafanyakazi wa Juamuiya ya Afrika Mashariki leo mchana walinaswa na kamera yetu nje ya Jengo la Ikulu, Jijini Dar es Salaam wakidai eti, hawaondoki mpaka wapewe mafao yao wanayoidai serikali.

No comments: