Saturday, June 28, 2008

HONGERA DADA, NIMEONA

UNALIPA DADA
Mshindi wa pili wa Miss Ilala Nelly Kamwelu, pia mshindi wa kipaji maalumu baada ya kukata nyonga kiustadi wakati akicheza miondoko ya Kigabachori (kidosi), akiwa na Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mohamed Yakub, mara baada ya kutangazwa mshindi.

No comments: