Hawa ni Watanzania ambao kwa sasa wako nchini London katika shoo za Sarakasi, wanapenda kujiita wazee wa shoka, wanapatikana nchini Londan na kundi lao linajishughulisha zaidi na sarakasi, ngoma za asili, muziki na vichekesho, wasanii hawa wameshafanya show nyingi Jijini London nchini Uingereza na wamekubalika.
Hivi karibuni wanatarajia kuleta vipaji vyao nchini Tanzania ambapo ndipo nyumbani ili kuwathibitishia wa Tanzania kuwa wanaweza kufanya mambo makubwa katika mataifa tajiri na wakakubalika. Stay tuned wangu, yaani wapo juu sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment