Saturday, June 28, 2008

KWA STAILI YA CHURA NITAVUNA SANA

MIMI SIO CHURA

Dansa maarufu hapa nchini Wabogojo, aliyecheza kwa kujinyonga katika baadhi ya nyimbo za msanii wa kizazi kipya hapa nchini Nice Mkenda 'Mr. Nice' usiku wa kuamkia leo katika kinyang'anyiro cha kumsaka Miss Ilala alikuja na gea mpya baada ya kuigiza kama chura huku akiwa na kinyago kinachofanana na kiumbe huyo kama anavyoonekana pichani.

No comments: