Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na balozi wa Cuba nchini aliyemaliza muda wake, Bw. Filipe Ruiz O’Farrill ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Augost 4,2008 kuaga. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye kabla ya mazungumzo yao mafupi, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Augost 4,2008.
HABARI ZA MAJUKUMU

No comments:
Post a Comment