Hawa ni wahitimu wa Shahada ya kwanza ya Infromation Technology ( IT) wakiwa kwenye pozi ya picha ya pamoja baada ya kutoka kwenye tafrija yao fupi iliyofanyika katika chuo chao kilichopo maeneo ya Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment